iqna

IQNA

ashraf ghani
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani ameikimbia nchi yake leo jioni baada ya kundi la Taliban kuchukua udhibiti wa mji mkuu wa Kabul. Taarifa zinasema Ghani ameondoka Afghanistan na inaarifiwa amekimbilia taifa jirani la Tajikistan.
Habari ID: 3474191    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/15

TEHRAN (IQNA)- Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametangaza usitishwaji vita wenye masharti na kundi la wanamgambo wa Taliban kabla ya SIku Kuu ya Idul Adha kuanzia Jumatatu.
Habari ID: 3471637    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema nchi za Waislamu zinapaswa kupewa jukumu la vita dhidi ya ugaidi kwani ugaidi unanasibishwa kimakosa na Uislamu.
Habari ID: 3470332    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24